Wednesday, December 16, 2015

Magari yaliyobeba maembe yanavyofurika kiwandani Azam-Mwandege




Hivi ndivyo magari yaliyobeba maembe yanavyofurika katika kiwanda cha Bakhresa maarfu kwa jina la Azam kilichopo Mwandege, wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani. Kuna haja ya kujenga viwanda vingi vya kusindika matunda hapa nchini ili kuwasaidia wakulima na wafanyabiashara soko la uhakika.

No comments: