Monday, December 28, 2015

Supu ya Kwale nyumbani kwa Mkude




Ni mara yangu ya kwanza kula supu ya kwale. Wengine wamekula mayai ya kwale kwa sababu zao, lakini mimi pamoja na familia yangu tarehe 26/12/2015 baadhi yetu tulibahatika kuonja supu ya kwale (tamu sana!). Pamoja na vitafunio vingine yakiwemo mayai na  mkate lakini tuliokula supu ya Kwale kwa kweli tunachakuongea siku ya kufungua mabox ya mwaka huu!

No comments: