Wednesday, December 16, 2015

Dr. Tulole Lugendo Bucheyeki

Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki (Utafiti Kilimo) inayojumuisha mikoa ya Dar Es Salaam, Tanga, Morogoro na Pwani - Dr. Tulole Lugendo Bucheyeko akiwa kazini ndani ya maktaba ya Chuo cha Mifugo-Morogoro huko akijipoza kwa maji na soda ya sprite. Hapa Kazi Tu.

No comments: