Tuesday, August 16, 2011

Kijana na Kilimo cha Nyanya- Kibungo


Kijana huyu aliyekuwa kwenye banda la maonyesho la Idara ya Hifadhi na Matumizi Bora ya Ardhi alinieleza jinsi alivyojifunza kilimo bora cha nyanya juu ya milima ya Kibungo na kusema kuwa kwa mara ya kwanza magari ya mizigo yalipanda mlimani kubeba mazao ya mbogamboga ambayo yamemsaidia sana kuongeza kipato chake.Pichani akiwa kwenye bustani ya maonyesho ya nyanya.

1 comment:

mang'ati the king'... said...

Hongera sana ndugu kwa hatua uliyo fikia kwani ni vijana wachache sana wanaweza kujikita katika kilimo siku hizi,hongera sana.