Friday, November 27, 2015

DC Josephine wa Shinyanga akuta dawa kibao kituo cha Afya Kambarage

Katika ziara ya ghafla aliyoifanya DC Josephine  Matiro kwenye kituo cha afya cha Kambarage. Yeye pamoja na Katibu Tawala wa Wialya (Pichani) walipigwa butwaa kukuta dawa zimejaa kibao huku wagonjwa wakiambiwa hakuna dawa hivyo wajinunulie wenyewe.chukua ni kumsimamisha kazi mmoja wa wauguzi wa zahanati hiyo (Picha kwa hisani ya Mahunde blog)

No comments: