Tuesday, November 17, 2015

Madiwani wa Jimbo la Mkuranga

Madiwani wapya wa Jimbo la Mkuranga wakiwa na Mbunge Mhe.Ulega. Wakwanza kulia ni Mhe. Nicholaus Kampa, Diwani wa Kata ya Vikindu.Aliyevaa suti nyeusi ni Mwenyekiti wa CCM-Mkuranga.

No comments: