Friday, November 20, 2015

Wengi hatupendi kuandika na wala kusoma


Ukitaka kuwa na ufahamu wa kutosha katika maeneo mengi ni lazima ujifunze kusoma na ikiwezekana na kuandika pia. Ukitaka kuwa mtafiti mahiri lazima usome na kuandika. Pichani ni baadhi ya  taarifa mbalimbali na Thesis za  MSc na PhD zinazotunzwa kwenye maktaba ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika-Idara ya Utafiti na Maendeleo.

No comments: