Friday, November 20, 2015

Maembe yanavyooza kiwanda cha Azam

Hivi ndivyo inavyoonekana kwa moja ya lori lililobeba shehena ya maembe nje ya kiwanda cha Azam (Bakharesa Group) likingoja zamu ya kuuza maembe hayo. Maembe mengi yamekuwa yakioza nje ya kiwanda hicho kwa sababu ya mchakato wa muda mrefu ya kuyanunua kiwandani. Aidha usafirishaji wa maembe hayo ni wa kiholela sana. Ona jinsi yalivyojazwa kwenye viroba na kufungwa na kamba. Kwa vyovyote uwezekano wa kuharibika ni mkubwa sana.Wasafirishaji wanatakiwa  kuelimishwa kuhusu hili.

No comments: