Friday, November 20, 2015

Unakaribishwa kununua petrol

Hivi bango hili lilikuwa lina maana ya ice cold cocacola au Petrol. Kwa kweli nimeshindwa kuelewa. Tuwe makini katika kuandika mabango.

No comments: