Friday, November 27, 2015

Hii ndiyo Lyamungo Guest House-Moro

Moja ya Guest Houses nzuri zinazopatikana mjini Morogoro- Lyamungo Guest House. Siipigii debe, lakini kwa kweli Guest hii ni nzuri, safi na usalama wa hali ya juu. Kinachofurahisha zaidi ni uchapa kazi wa watoa huduma wa nyumba hii ya wageni wakiongozwa na Meneja wao Bw. Malamsha. Bei ya chumba kwa siku ni Tshs 25,000/=  inajitegemea na chenye kiyoyozi. Ipo karibu kabisa na "msikiti wa Mahita"

No comments: