Saturday, February 27, 2016

Asante sana Bw & Bi. Michael Luanda

Bi. M.Luanda akiwaongoza Ex-NJOSS kwenda kutoa zawadi kwa Bw & Bi Macarios Kushoto Michael Luanda na katikati Mr.Lawrence Mkude. Asante sana kwa Big Support. Udumu urafiki na undugu wetu.

No comments: