Saturday, February 27, 2016

Wasimamizi wa harusi ya Bw & Bi Macarios Banzi katika ubora wao


Mbwembwe nyingine za upigaji picha  huwa zinaniacha hoi kabisa.Picha ya juu huyo mtoto aliyepiga akiangalia kulia ndiyo kivutio cha picha hiyo. Lakini hawa wote ni wasimamizi wa harusi ya harusi ya Macarios na Martina (Mr & Mrs M.Banzi) siku ya tarehe 6/2/2016 kanisani  Vikindu. Wasimamizi wa Kuu ni Mr & Mrs Gaitan Banzi

No comments: