Saturday, February 27, 2016

Meza moja na marafiki zangu wa Tosamaganga


Picha ya Juu. Tangu mwaka 1978 hadi leo, kutoka Tosamaganga hadi Dar  miaka zaidi ya 36 sasa. Banzi, George Mnyitafu (Ngi) na Chris Kalanje (aliyevalia miwani) kushoto kwake Mrs.George. Walisafiri hadi Vikindu kunipa tough na kumpongeza dogo Macarios kwa kufunga ndoa. . Pembeni yao na marafiki wapya maisha mapya Vikindu. Asanteni sana.

No comments: