Saturday, February 27, 2016

Hawa ni ndugu zetu upande wa MAMA















Harusi ya Bw. Macarios Banzi na Martina ilivuta watu wengi. Hapa ni baadhi ya ndugu zake (zetu) upande wa mama yetu walioabahatika  kuhudhuria shamrashamara hizo pale Tandan - Vikindu. Hakika ni Bahati ya pekee.

No comments: