Saturday, February 27, 2016

Kama tuko Matombo vile





Furaha ilipelekea mimi na shangazi yangu Paulina (Mama Mloka) kucheza ndani ya Kanisa kama vile tuko ndani ya kanisa la Mt. Paulo  nyumbani Matombo. Ni furaha baada ya Bw na Bi Macarios Banzi kufunga ndoa tarehe  6/2/2016. Muone Binti Mwl na msinga wake na mimi mwanae Banzi nikiwa na kitu kinachoitwa 'Mambatsa' 9kishoka kidogo cha kuchezea ngoma).

No comments: