Friday, January 25, 2008

Ufisadi BoT: Ballali hatosema lolote

Mpira umekwisha.

Ballali amekuwa mbuzi wa kafara. Sidhani wala sitegemei kuwa Ballali atasema chochote. Aseme nini? Naye kibarua chake "kimetenguliwa?" Tusubiri tuone.

1 comment:

Belo said...

Issue ya BOT mi naona wanahusika watu karibu 1000 mi nadhani akilipua bomu wengi wataumbuka wengine ni viongozi wakubwa BALALI ametolewa kafara kwani wako wengi lakini tusubiri tuone.