Wednesday, January 21, 2015

Je ulishawahi kuomba 'lift' kwa Rais na kukubaliwa?

Rais wa Uruguay Jose Mujica na mkewe Lucia Topolansky (pichani)  hivi karibuni wamemshangaza kijana Gerhard Acosta  baada ya kumpa 'lift' kwenye gari yao ya serikali. Baadaye Gerhald alisema hivi " Nilipoteremka, nilishukuru na kufurahi sana kwa sababau si kila mtu mwenye moyo wa kumsaidia mtu asiyemjua barabarani, achilia mbali ni Rais wa nchi." Chanzo gazeti la Raia Mwema 21/01/2015.

No comments: