Wednesday, January 21, 2015

Tuwe makini kwenye kuandika mabango

Hebu soma vizuri bango lililosimikwa kwenye nyumba hii ya wageni. Hivi umeelewa nini kuhusu 'Full AC with TV rooms?" MOTEL CROPS inapatikana mjini Bagamoyo.

No comments: