Friday, January 30, 2015

Kutunza kumbukumbu ni muhimu

Nilipokuwa kwenye ziara ya mafunzo nchini India  nilikumbushwa umuhimu wa kutunza kumbukumbu ya mifugo kama inavyoonekana pichani. Kumbukumbu hizi ni za aina ya ng'ombe . Hiki ni kituo cha Utafiti kinatafiti aina bora ya ng'ombe wa maziwa anayewaza kupatikana kwa sifa wanazozihitaji ili aweze kusambazwa kwa wafugaji.

No comments: