Thursday, January 22, 2015

Mboga 'kilobani' inawezekana


4 comments:

Unknown said...

Safi sana.

Belo said...

Hii inafaa sana wale wanaoishi mjini

Innocent John Banzi said...

Asante shem Bello. Lakini sijakuona Kisemvule muda mrefu au uko kwenye mpango wa kutuita kwenye kikao cha kwanza?

Belo said...

Hahahaha Shem,
Ratiba yangu imekuwa vice versa na watu wengi mara nyingi niko off katikati ya wiki na wikiend nipo ofisini.Ukipita airport nijulishe tunaweza tukaonana,nina likizo ya wiki mmoja April nitajitahidi nifike huko