Friday, January 30, 2015

Batobato na Michirizi ya Njano unaangamiza muhogo

Michirizi ya njano (Kushoto) na Batobato (kulia) ni magonjwa yanayoteketeza mashamba ya muhogo hapa nchini. Mihogo iliyoathirika huoza. Ni ugonjwa yanayosumbua sana kwenye sehemu nyingi zinazozalisha muhogo hapa nchini na kuwapa hasara kubwa wakulima. Utafiti unaendelea kupambana na magonjwa  haya hasa unaolenga kupata aina bora za  mbegu zenye kuhimili magonjwa.

No comments: