Monday, February 2, 2015

Mikocheni na 'mafuta mwali'

Kutokana na utafiti wa siku nyingi wa zao la mnazi, kituo cha utafiti cha Mikocheni kimeweza kutoa mafuta ya nazi yanayotumika kwa matumizi mbalimbali. Mafuta hayo yanajulikana kwa jina la 'mafuta mwali.'  Mafuta haya yana manufaa mengi. Moja yanaongeza kinga ya mwili. Mafuta haya ni mazuri kupaka kwenye nywele hasa kwa watoto wadogo, yanasaidia pia kuyeyusha chakula kwenye mfumo wa chakula. Timu ya wataalamu wa kilimo na mifugo iliyotembelea kituo kidogo cha utafiti cha Chambezi kilichopo Bagamoyo iliweza kupata maelezo ya mafuta hayo na kila mmoja alinunua chupa moja ndogo kwa bei ya shilingi 10,000.

No comments: