Monday, February 2, 2015

Mfumo wa Mabango ya shule ni fanikio

Tembea nchini kote, ni nadra sana kukosa bango linaloonyesha zilipo shule za Msingi na Sekondari(hasa za serikali). Mabango ya shule zote yanajieleza wao ni nani na wanafanya nini. Safi sana Wizara ya Elimu

No comments: