Tuesday, February 3, 2015

Hawa wanachotaka ni barabara tu si 'flyovers'

Kuna sehemu nyingi za jiji la Dar zimejengwa kiholela kiasi kwamba si rahisi gari kufika hadi nyumbani. Hii inatokana na mipango holela ya upimaji ardhi. Kwa wakazi wa maeneo haya - 'flyovers' kwao si kipaumbele!

No comments: