Friday, February 6, 2015

Kalanje & Banzi wakutana Kilimo II

Miaka zaidi ya thelathini iliyopita tulikuwa marafiki Tosamaganga High School. Chris Kalanje akichukua masomo ya HGE na John Banzi-CBG. January mwaka huu, Chris alifika ofisini kwangu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika (KII) kunisalimu nami kumpa pole baada ya kufiwa na mdogo wake. Kalanje kwa sasa yuko Switzerland  akijitafutia riziki huko. Bado tu marafiki na sote ni members wa TOSA GROUP.

No comments: