Monday, February 2, 2015

Mpunga umenipatia simu

Akijieleza kwa kujiamini, kijana huyu kutoka wilaya ya Mvomero, skimu ya umwagiliaji ya Kamtonga aakionyesha simu yake aliyoinunua msimu huo kutokana na mavuno ya zao la mpunga.

No comments: