Monday, February 2, 2015

Zizi la asili halikosekani

Licha ya kuwa na zizi bora la kisasa, lakini mfugaji Longido Shambakubwa wa Mvomero alitenga sehemu ndogo ya zizi la asili. Nasi tulikuwa na shauku ya kupiga picha mbele ya zizi hilo la mifugo la asili.

No comments: