Monday, February 2, 2015

Wakulima wa Kamtonga wameanza kufundishana


Hawana sababu ya kusubiri Bwanashamba, wakulima wa skimu ya Umwagiliaji ya Kamatonga wilayani Mvomero, Morogoro wameanza kufundishana wao kwa wao. Picha mbili zinaonyesha vikundi vya wakulima tofauti waliopata mafunzo ya kilimo bora kupitia mradi wa EAAPP wakiwa na  walimu wao (waliochuchumaa).

No comments: