Monday, July 13, 2015

Mount Meru Hotel-Arusha




Mount Meru Hotel - Arusha imerudi katika viwango vyake. Mazingira safi na huduma za kuridhisha. Usisite kufanya shughuli yako hapo au kukodi chumba hotelini hapo pamoja na familia yako kwa lengo la kutalii kwenye mbuga zetu za taifa.

No comments: