Monday, April 6, 2009

Barabara safi - lakini maji machafu?


Mbagala Rangi 3 mwisho pamekuwa na kero ya ajabu. Gari hazitembei, maji yametuama kiasi cha kuwafanya watembea kwa miguu kurukia virobo vya mchanga vilivyowekwa kwenye mabwawa ya maji machafu ili kupata sehemu ya kuweka mguu.

No comments: