Tuesday, April 7, 2009

"Maisha Plus" ukokotoaji?

Kuna mchezo unaendelea katika luninga ya TBC 1 unaitwa "Maisha Plus" Hivi mchezo huu una lengo gani ? ni ubunifu au ukokotoaji kutoka "Big Brother?"

2 comments:

Belo said...

Hakuna ubunifu hiyo ni copy and paste kutoka BBA

Innocent John Banzi said...

Ah Belo kumbe nawe umeliona hilo?
Asante