Monday, April 6, 2009

Watoto huwa wananuna


Mara nyingi watoto huwa wana nuna tena pengine kwasababu ndogo tu. Lakini baada ya muda husahau na kuanza kucheza kama siye aliyenuna muda mfupi uliopita.

No comments: