Monday, April 6, 2009

Si mshabiki wa Yanga lakini amesikitika kufungwa


Cathy Banzi si mshabiki wa Yanga lakini alisikitishwa sana pale aliposhuhudia kufungwa kwa Yanga 1-0 na timu ya AL-Ahly kutoka Misri

2 comments:

Belo said...

Tulistahili kipigo hao Waarabu sio siazi yetu kabisa hata wangekuwa Simba wangepewa dozi ya kutosha
Hasira zetu tutazihamishia kwa Simba

Innocent John Banzi said...

Bello,
Unapokiri unaonyesha ustaarabu wa aina fulani hivi katika jambo ambalo ni dhahiri. Mimi sikwenda wanjani siku hiyo lakini nilishuhudia kupitia luninga watani wetu wakichezewa mpira mtu ndani! Ama kweli Yanga kiwango bado. Mchezaji gani anaweza kufanya maajabu Yanga? Labda Kaseja, apige yeye penalti na adake yeye penalti!