Thursday, August 27, 2009

Hivi jinsi hupimwa kwa madawa?



Caster Semenya kutoka Afrika Kusini ambaye ndiye bingwa wa dunia wa mbio za mita 800 wanawake ni gumzo hivi sasa baada ya kushinda mbio hizo huko Berlin mwezi huu. Wazungu hawaamini kuwa ni mwanamke. Eti uwezo aliokuwa nao ni wa mwanaume zaidi.

Sasa mimi sielewi. Hivi kuthibitisha kuwa ni mwanamke au mwanaume kuna haja ya kufanya vipimo zaidi. Si kuangalia tu naniiiii yake mara moja itagundulika kama mwanamke au mwanaume. Mie sioni ugumu wowote hapa. Tatizo ni nini? Wenzangu nipatieni jibu.

1 comment:

meab said...

kwa kweli hana mimi kaka nashangaa sana, choni chowabamile wadhungu hawa? kwa nini kumfanyia hivyo mwana wa miyao? jamani kha! mwiko!