Friday, September 11, 2009

Hii ndiyo Kauli mbiu ya Siku ya Chakula Duniani

Angalia mkate, mayai, bamia, maziwa,samaki, maharage,tikiti maji jekunduu loo linavutia. Huo ni mlo kamili. Wadau nipeni tafsiri ya kiswahili ya 'achieving food security in times of crisis'. Hiyo ndiyo kauli mbiu ya Siku ya Chakula Duniani mwaka huu.

No comments: