Friday, September 11, 2009

Safi sana Marini Hassan Marini

Marini Hassan Marini ni mmoya ya watangazaji mahiri wa TBC (Tanzania Broadcasting Company) kwa sasa.
Kwa nini ni mahiri. Hii ni jinsi anavyotayarisha vipindi vyake na jinsi anavyoripoti taarifa mbalimbali.
  • Vipindi vyake vinavutia kama vile -Jambo Tanzania
  • Anahoji bila woga
  • Maswali yake ni ya msingi
  • Mada zinazozungumziwa ni za aina mbalimbali
  • Wanaohojiwa si watu maarufu tu hata watu wa kawaida

Safi sana Marini Hassan Marini na Hongera TBC. Lakini haya ni maoni yangu.

No comments: