Friday, September 11, 2009

Wakulima watafiti aina bora za ufuta


Angalia ufuta ulivyopendeza shambani. Mwana mama huyu amefuata kanuni bora za kilimo cha Ufuta hata hivyo bado anatafiti kuangalia mbegu bora za ufuta zile za kisasa au za kienyeji. Baadaye ataamua mwenye ni ipi azalishe. Picha kwa hisani ya Kituo cha Utafiti Naliendele-Mtwara.

No comments: