Wednesday, June 30, 2010

Hii nayo kali


Eti naambiwa huyu aliyeko pichani ni mmoja wa mastaa wa filamu hapa nchini. Wadau nipeni jibu.

2 comments:

sophia kizito said...

Banzi wa Moro nawe uko wapi punguza uchovu kwa kuangalia movie za nyumbani, huyu anaitwa Aunt Ezekiel, ni maarufu sana. ndie aliyemfilisi mwakamele hadi akaokolewa na na mkewe uingereza, kulingana na magazeti ya udaku. pia aliwahi kua miss Tanzania.Hivi ni kweli banzi humjui huyu, au huamini? Bongo napo vifaa vipo! utadhani tupo USA .

Innocent John Banzi said...

Ha shem Sophia. Nafurahi kuwa unaipitia blog hii kila upatapo nafasi na kutoa maoni yako. Kweli nimeshacheck baadhi ya movie zake ingawa si mpenzi wa filamu mimi ni mpenzi sana wa music. Niko South Africa kwa siku tano nitakuwa nyumbani Jumamosi 4/9/2010 Mungu akipenda. Natumaini umeshanyaka maneno mawili hivi ya kihindi ya kuombea maji.