Wednesday, June 30, 2010

Vita ya majambazi


Ukiwa jambazi utauwawa. Majambazi wanaendelea kuitikisa nchi hasa mijini. Hivi karibuni kikosi cha polisi cha mji wa Arusha kilipambana na majambazi na kufanikiwa kuwaua. Pichani (kwa hisani ya gazeti la mwananchi) majambazi waliouwawa wamelala milele!

1 comment:

Unknown said...

tunawapongeza jeshi la polisi mkoa wa arusha kwa jitihada zao za kupambana na majambazi