Tuesday, July 5, 2011

Paroko Tomy alisimamia maandamano



Maandamano ya kuabudu Ekaristi Takatifu Parokia ya Vikindu.Father Tomy mbele ya Watoto wa Utatu,waimbaji waliimba kwa shangwe.Watoto walishiriki kikamilifu katika maandamano.

1 comment:

Belo said...

Habari za Kisemvule,Cathy ameshapata kipaimara?kama bado nijulishe anapata lini,hivi karibuni nitakuja huko