Tuesday, April 20, 2010

Mgosi umetimiza ahadi yako



Mgosi umeikamilisha kazi kwa kutingisha nyavu za watani mara mbili. Kuna nini tena? Umetupa raha ujue? Safi sana Musa Hassan Mgosi.

1 comment:

Belo said...

Nimesikia huyo Mgosi ndio mbeba ndumba za Simba