Monday, April 30, 2012

Huko ndiko kuagwa

Ukiona sanduku, ujue safari imeiva. Pichani Bw. George Ng'atigwa, akimuaga dada yake Adela Nga'tigwa wakati alipowakabidhi rasmi ukoo wa Kavia (mume mtarajiwa) katika ukumbi wa Magadu ulipo ndani ya Kambi ya Jeshi la Wananchi-Mzinga siku ya tarehe 28/4/2012.

3 comments:

Mc FR said...

naikubali blog yaku mtu wangu

Banzi wa Moro said...

Asante sana bornagain.Naomba uendelee kupitia blog hii mara kwa mara na kutoa comments inatia moyo kuona watu wanasoma posts unazoweka.

Unknown said...

lumbu asante sana kwa kuturusha, picha zinogha na kumbukumbu nzuri.