Tuesday, April 3, 2012

Nauli za mabus Tanzania hizi hapa

Bango linaonyesha taarifa ya nauli za mabus kutoka Dar Es Salaam kwenda mikoani.(Nashindwa kufahamu kama Abood Bus ni kawaida,luxury au semi luxury).Jamani, Mkuranga nayo ni mkoani kama ilivyo Kibaha mbona haipo bangoni. (Picha kwa hisani ya Michuzi Blog).

1 comment:

Meck Macha said...

ndo hali halisi ya tanzania kila siku uchaguzi nauli juu cjui viongozi wanataka nini ?