Tuesday, April 3, 2012

Msafiri Kafiri!

Msafiri kafiri.Ndiyo methali tuliyoizoea nyumbani Tanzania. Nikiwa Maputo Msumbiji hivi karibuni nilithibitisha uhalisia wa methali hiyo. Tukitokea Swaziland (nyumbani kwetu) tulijiandaa kwa vitafunnwa na vinywaji. Tulipofika Maputo tulipata kifungua ndani ya gari letu tulilosafiria. Mimi nilipata kipande cha kuku sehemu ambayo huwa siipendi!Tuko ugenini, safarini-Kweli Msafiri Kafiri.

2 comments:

Unknown said...

kweli lumbu msafiri kafiri, ukiwa ugenin huna choice, choneke gabwi!, umenikumbusha mbali ss tulipokuwa Mananga tulikwenda Pretoria tulimiss trip ya msumbiji.

Unknown said...

kweli lumbu msafiri kafiri, ukiwa ugenin huna choice, choneke gabwi!, umenikumbusha mbali ss tulipokuwa Mananga tulikwenda Pretoria tulimiss trip ya msumbiji.