Tuesday, May 29, 2012

Fuga nguruwe ujiongezee kipato

Nguruwe ni mnyama rahisi kumfuga kwani hashambuliwi sana na maradhi na pia hutumia aina mbalimbali za vyakula ambavyo hupatikana kirahisi katika mazingira yoyote.Jijini Dar Es Salaam nguruwe wa uzito wa kilo 80 anaweza kukupata kiasi cha Tshs 400,000/=. Nilipotembbelea mikoa ya Iringa na Mbeya nilikuta wakulima wengi wakifuga nguruwe hasa wilaya ya Kilolo kijiji cha Kidabaga.

1 comment:

Belo said...

Hii ni mmoja ya biashara yenye faida sana hapa Dar ,sidhani kama wauza kitimoto wamewahi kupata hasara