Friday, May 4, 2012

Keki kutoka Mgeta-Morogoro

Amini usiamini, keki hii imetengenezwa na wataalamu kutoka Mgeta-Morogoro. Ina mchanganyiko wa magimbi, viazi, njegere, muhogo, ndizi, na ngano ndiyo aliyoikata Bi Adela Ng'atigwa siku ya kuagwa kwake pale Magadu Leaders Club Morogoro.

1 comment:

Unknown said...

nimeipenda sana hii.. nikumbuka uake mwiyenu mweeee