Thursday, May 31, 2012

Kilimo cha Vitunguu kijijini Msosa

Tulipotembelea kijiji cha Masosa kilichopo katika wilaya ya Kilolo tulishuhudia bonde kubwa linalolimwa vitungu aaina ya Red Bombay kwa njia ya umwagiliaji. Kilimo cha vitunguu kimeboresha maisha ya wakazi wa Msosa.Nyumba za kisasa zimeanza kujengwa na vijana zaidi ya 10 wamerudi kijijini kutoka mijini kushiriki katika shughuli za kilimo kwa muda wa miezi 3 mkulima ana uhakika wa kupata shilingi 350,000 kwa eneo la robo eka tu.
Shamba la vitunguu kijijini Msosa.
Baada ya mazungumzo na wanavikundi kijijini ilibidi tufike shambani

4 comments:

Belo said...

Nina mpango wa kulima vitunguu kule Ruaha kwa sasa tunatafuta pump kwa ajili ya kumwagilia,nikishapata nitakuona unipe some input kuhusu kilimo chake

Innocent John Banzi said...

Sawa Belo. Ikiwezekena nami nitaommba niwe mmoja wa wanachama. Utanieleza vizuri cha kufanya.

Masome said...

Belo naomba details za kilimo cha vitunguu hapo Msosa
Masome Dar es Salaam

Unknown said...

mkuu umeshalima vitunguu??