Monday, May 28, 2012

Mjengo wa Masaki

Pitapita zangu jijini Dar kando ya bahari ya Hindi nilinyaka mjengo huu wa Masaki.Nikwambie kitu, Masaki mwanangu asikwambie mtu kuna mijengo ya nguvu na kumetulia, na kusafi!

2 comments:

Christian Sikapundwa said...

Majengo kama hayo ndiyo yanatufanya nasi Tanzania tujulikane kuwa tuna utajiri,Siyo Ufisadi.Lakini na Moro nako kumeanza kuwa na majengo,kwa muda tu mfupi leo maeneo ya stand ya mabasi Msamvu kuna mambo huwezi amini kwama kuna watu wana fedha.Hayo maendeleo au vipi?

Innocent John Banzi said...

Asante ndugu yangu Chrsitina Sikapundwa kwa maoni yako mazuri na kuisoma blog hii ya banzi wa Moro. Nitafurahi sana kama utaweza kunitumia picha za Moro mara kwa mara ili niweze kuning'iniza kwenye Banzi wa Moro. Tumia e-mail jlsbanzi@gmail.com