Thursday, May 14, 2009

Barcelona Vs Manchester United ni fainali ya kweli

Kiwango walichonacho sasa timu hizi mbili kinatoa burudani kwa wapenzi wa kandanda.
Unapoingalia Barcelona wakicheza unaona team work unaona kila mchezaji ni kifaa. Hebu mwangalie Mesi, tupa jicho kwa Etoo na jaribu kumfuatilia Iniesta ni tishio kweli. Hivyo hivyo kwa Manchester kuna Ronaldo, Rooney, Rio Ferdinand na wengineo kwa vyovyote vile wameonyesha uwezo mkubwa kwa msimu huu ndiyo maana nasema, Barca Vs Man U ni fainali ya kweli.

3 comments:

Belo said...

Hao Barcelona lazima tuwafunge,mabeki wao wa pembeni hawatakuwepo ndani ya dakika 90 tutachukua ubingwa na kuendelea kuweka rekodi

Innocent John Banzi said...

Belo unaipenda sana M U lakini kumbuka pale kuna vifaa viwili vinatisha sana. Kuna Messi na Inesta. Acha bwana ni wakali kweli. Puyol naye atakuwepo huku nyuma. Lazima Wayne ang'oe kibendara ha pembeni kwa ghadhabu.

Belo said...

Nimekubali kipigo Barcelona walistahili ubingwa lakini hatufi moyo tunasubiri msimu ujao