Thursday, May 14, 2009

Bunge la Bajeti laja

Kikao kinachofuata cha Bunge ni Bunge la Bajeti. Ni Bunge linalotoa ruhusu ya kutekeleza mipango ya wizara mbalimbali inayotarajia kuifanya kwa mwaka 2009/10. Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2008/09 utatolewa pia katika kikao hicho cha Bunge. Wabunge watajadili na kupitisha Bajeti kwa utekelezaji. Lakini ni vizuri tujiulize ni kweli tunatekeleza kilichopo kwenye Bajeti? Je, fedha zinatolewa kama ilivyopitishwa na Bunge? Hili bado nashindwa kuelewa.

1 comment:

Belo said...

Mwaka huu wataongeza mishahara maana mwakani kuna uchaguzi mengine yaleyale hakuna mapya